KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Muheza District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Muheza District Council
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Muheza District Council
Kwa madhumuni ya uendeshaji wa uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Muheza anawatangazia waombaji wafuatao kufika kwenye usaili Tarehe 14.10.2025 siku ya Jumanne katika Ukumbi wa TATE PLUS uliopo Muheza Mjini karibu na Stendi Kuu ya Mabasi kuanzia saa 3:00 asubuhi.
Wasailiwa wote wanatakiwa kuzingatia yafuatayo:
- Kuzingatia muda wa kufika ukumbini.
- Namba yako kwenye orodha ndiyo namba yako ya kuingilia ukumbini.
- Kufika na kalamu ya kuandikia
• Kufika na kitambulisho cha NIDA au cha Mpiga Kura. - Kujigharamia nauli kuja kwenye usaili na kurudi.
- Wasimamizi namba 1-1000 wafike saa 3:00 asubuhi.
- Wasimamizi namba 1001-1807 wafike saa 4:00 asubuhi.
- Makarani wote wafike saa 5:00 asubuhi.
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA
Tags: KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Muheza District Council
