KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Bahi District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Bahi District Council
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Bahi District Council
Kwa madhumuni ya uendeshaji wa Uchaguzi Mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la BAHI anawatangazia waombaji wafuatao kufika kwenye usaili Tarehe 15/10/2025 katika Tarafa za Mwitikira (shule ya sekondari Mwitikira), Chipanga (shule ya Sekondari Chipanga), Mundemu (shule ya Msingi Mundemu) na Bahi (shule ya Sekondari Bahi) kuanzia saa mbili kamili (2:00) asubuhi.
Tags: KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Bahi District Council