KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kaliua District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kaliua District CouncilR
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kaliua District Council
Kwa madhumuni ya uendeshaji wa uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Kaliua na Ulyankulu anawatangazia waombaji wa ajira ya muda wafuatao kufika kwenye usaili tarehe 14.10.2025 katika maeneo yaliyotajwa kama ifuatavyo;
- Kata za Uyowa, Silambo, Milambo, Kanindo na Igombemkulu Kituo cha Usaili kitakuwa Shule ya Sekondari Uyowa.
- Kata za Sasu, Ilege, Konanne, Seleli na Kashishi Kituo cha Usaili kitakuwa Shule ya Msingi Kashishi.
- Kata za Ichemba, Kanoge, Mwongozo, Makingi na Nhwande kituo cha usaili kitakuwa Shule ya Msingi Ichemba.
- Kata za Zugimlole na Ukumbisiganga kituo cha usaili kitakuwa Shule ya Msingi Zugimlole.
- Kata za Usenye na Usinge kituo kitakuwa Shule ya Msingi Usinge.
DOWNLOAD PDF YA MAJINA HAPA
Tags: KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kaliua District Council
