NAFASI Za Kazi Kaberwa Company Limited

NAFASI Za Kazi Kaberwa Company Limited
NAFASI Za Kazi Kaberwa Company Limited
Kaberwa Company Limited inatangaza Nafasi za Kazi kwa vijana wa Kitanzania wenye nia ari pamoja na sifa stahiki kujaza nafasi 50 zilizoanishwa hapa chini.
MAJUKUMU:
- Kukopesha Simu za Samsung, Infinix, Tecno na Itel.
VIGEZO:
- Elimu – Kuanzia Darasa la Saba.
- Kitambulisho Cha NIDA/Namba ya NIDA.
- Uwe na Simu Janja (Smartphone)
- Uwe Muaminifu.
- Uwe Mchapakazi.
- Uwe Mkazi wa eneo husika.
- Umri Miaka 18 – 35.
Location: Muleba, Bukoba, Missenyi, Karagwe, Kyerwa na Kahama.
Tuma Maombi Kupitia WhatsApp Number 0756658100.
Mwisho wa Kutuma Maombi ni tarehe 30 October 2025
