KUITWA Kazini UTUMISHI 14/10/2025

Filed in Kuitwa Kazini by on 14.10.2025 0 Comments
Share This Post
KUITWA Kazini UTUMISHI 14/10/2025

KUITWA Kazini UTUMISHI 14/10/2025

KUITWA Kazini UTUMISHI 14/10/2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 14-05-2025 na tarehe 26-08-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.

Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *