KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kondoa District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kondoa District Council
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kondoa District Council
Kwa madhumuni ya uendeshaji wa Uchaguzi Mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Kondoa anawatangazia waombaji wafuatao kufika kwenye usaili Tarehe 18/10/2025 vituo vilivyoainishwa kuanzia saa 2:00 asubuhi.
Aidha, kila Msailiwa afike na Cheti cha Kuhitimu Kidato cha Nne na Kitambulisho kwa ajili ya utambulisho. Vituo vya usaili kama ifuatavyo:
- Shule ya Msingi Bereko (Kata za Bereko, Soera, Salanka, Itololo, Mnenia, Masange, Kisese na Kikore).
- Shule ya Msingi Changaa (Kata za Hondomairo, Changaa, Kikilo na Thawi).
- Shule ya Sekondari Abedi Amani Karume (Kata za Itaswi,
Pahi, Bumbuta, Keikei, Haubi, Kalamba, Kinyasi, Busi na Kwadelo)
DONWLOAD PDF YA MAJINA HAPA
Tags: KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kondoa District Council
