KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Uyui District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Uyui District Council
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Uyui District Council
Kwa madhumuni ya uendeshaji wa Uchaguzi Mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na.1 ya mwaka 2024, kikisomwa Pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Uyui na Igalula anawatangazia waombaji wa Ajira ya muda wafuatao kufika kwenye usaili tarehe 16.10.2025 kuanzia saa 02:00 Kamili Asubuhi vituo vya usaili kwa wahusika wote vimefafanuliwa katika jedwali hapo chini.
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA
Tags: KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Uyui District Council