NAFASI Za Kazi Chuo Kikuu cha Ardhi

NAFASI Za Kazi Chuo Kikuu cha Ardhi
NAFASI Za Kazi Chuo Kikuu cha Ardhi
Chuo Kikuu cha Ardhi ni chuo kikuu cha umma kilichopo katika jiji la Dar es Salaam, Tanzania.
Chuo hicho Kilianzishwa rasmi tarehe 28 Machi 2007 ingawa kimekuwa kikitoa mafunzo kwa zaidi ya miaka 60 sasa.
Chuo Kikuu cha Ardhi Kiko jirani na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, ambapo kilikuwa chuo kikuu kishiriki kuanzia mwaka 1996 hadi 2007.
Chuo Kikuu cha Ardhi kinawaalika watu wenye uwezo na wanaofaa ambao wana nia kufanya kazi katika mazingira mazuri ya Chuo Kikuu hicho ili kujaza nafasi Mbalimbali za Ajira Zilizoanishwa hapa chini kwenye PDF.
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA TANGAZO
