NAFASI Za Kazi Epha Hospital

NAFASI Za Kazi Epha Hospital
NAFASI Za Kazi Epha Hospital
Hospital ya Epha ipo Katika Kata ya Sogea Halmashauri ya Mji Tunduma Mkoanj wa Songwe nchini Tanzania.
Hospitali hiyo inatoa nafasi za kazi kwa kada tofauti tofauti kwa ajili wa utoaji huduma katika hospitali hiyo.
Mnakaribishwa wote kuomba nafasi tajwa hapo chini kulingana na kada na sifa ulizonazo.
Nafasi hizo ni kama zilizoanishwa hapa chini kwenye PDF.
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA TANGAZO
