KUITWA Kazini Walimu wa Kujitolea Katika Shule Za Msingi Awamu ya Pili 2025

Filed in Kuitwa Kazini by on 17.10.2025 0 Comments
Share This Post
KUITWA Kazini Walimu wa Kujitolea Katika Shule Za Msingi Awamu ya Pili 2025

KUITWA Kazini Walimu wa Kujitolea Katika Shule Za Msingi Awamu ya Pili 2025

KUITWA Kazini Walimu wa Kujitolea Katika Shule Za Msingi Awamu ya Pili 2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Ofisi ya Rais – TAMISEMI inapenda kuwataarifu waombaji 128 wa nafasi za walimu wa kujitolea katika Shule za Msingi ambao hawakuripoti katika vituo vyao vya kazi walivyoomba kuanzia tarehe 18 hadi 31 Agosti, 2025 nafasi zao zimejazwa na waombaji waliokidhi vigezo ambao pia walifanya maombi tarehe 17 – 30 Mei, 2025.

Majina ya waombaji 128 na waliokidhi vigezo yameoorodheshwa hapa chini kwenye PDF.

Aidha, walimu hao 128 wa kujitolea wanaojaza nafasi 128 zilizoachwa wazi, wanatakiwa kuripoti kwa Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa zilizopo shule walizopangiwa kuanzia tarehe 15 hadi 21 Oktoba, 2025 kwaajili ya kujaza Mkataba wa Ajira ya walimu wa kujitolea na mwajiri na kupatiwa barua za kupangiwa kituo cha kazi.

Tafadhali fika na vyeti halisi (Originals Certificates).

Aidha, kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi.

DONWLOAD PDF YA MAJINA YA WALIMU HAPA

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *