NAFASI Za Kazi Meru Eco Camp Tanzania

Filed in Ajira by on 18.10.2025 0 Comments
Share This Post
NAFASI Za Kazi Meru Eco Camp Tanzania

NAFASI Za Kazi Meru Eco Camp Tanzania

NAFASI Za Kazi Meru Eco Camp Tanzania

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Kampuni ya Utalii ya Meru Eco Camp inatoa huduma ndani ya Hifadhi ya Shamba la Miti la Meru, wilayani Arumeru mkoani Arusha.

Meru Eco Camp sasa inajivunia kuwa na vivutio vya kipekee vikiwemo maporomoko ya maji ya Napuru (Napuru Waterfalls), malazi ya kisasa na rafiki kwa mazingira, pamoja na michezo ya kusisimua ikiwemo zipline yenye urefu wa mita 800 – zipline ndefu zaidi Afrika Mashariki – inayokatiza kutoka msituni hadi mto Themi uliopo katikati ya jiji la Arusha.

Kampuni ya Meru Eco Camp inatafuta watu wenye nia, ari pamoja na sifa tajwa kujaza nafasi Mbalimbali zilizoanishwa Katika Tangazo hili hapa chini.

Nafasi Mpya Za Kutoka Meru Eco Camp Arusha.

DONWLOAD PDF YA TANGAZO HAPA

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *