JINSI ya Kuwasilisha Changamoto Zako Ajira Portal

Filed in Makala by on 21.10.2025 0 Comments
Share This Post
JINSI ya Kuwasilisha Changamoto Zako Ajira Portal

JINSI ya Kuwasilisha Changamoto Zako Ajira Portal

JINSI ya Kuwasilisha Changamoto Zako Ajira Portal

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Jinsi ya kutuma barua pepe (email) kwaajili ya kuwasilisha Changamoto, tuma taarifa hizi.

  • Majina yako kamili matatu yanayosomeka kwenye NIDA
  • Namba yako ya NIDA.
  • Maelezo mafupi kuhusu changamoto yako.
  • Changamoto ya kuomba kazi wasilisha nafasi unayoshindwa kuomba ukitaja na muajiri kama ilivyoandikwa

Tuma barua pepe yako kwenda ict@ajira.go.tz au malalamiko@ajira.go.tz

JINSI ya Kuwasilisha Changamoto Zako Ajira Portal

JINSI ya Kuwasilisha Changamoto Zako Ajira Portal

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *