KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kibaha Town Council

Filed in Kuitwa Kazini by on 23.10.2025 0 Comments
Share This Post
KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kibaha Town Council

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kibaha Town Council

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kibaha Town Council

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Msimamizi Wa Uchaguzi Jimbo la Kibaha Mjini anawatangazia Waombaji wa Kazi ya muda ya Usimamizi wa Uchaguzi Mkuu 2025 Walioteuliwa Baada ya Kuhudhuria Usaili.

  • Mafunzo Kwa Makarani ni tarehe 25/10/2025.
  • Mafunzo Kwa Wasimamizi na Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo ni tarehe 26-27/102025.

Mafunzo hayo Yatafanyika Katika Ukumbi wa Mayborn Hotel Nyuma ya Kituo Cha Mafuta Puma (Maafuru Delina) Kuanzia Saa 2:00 Asubuhi

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *