KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kinondoni Municipal Council

Filed in Kuitwa Kazini by on 24.10.2025 0 Comments
Share This Post
KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kinondoni Municipal Council

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kinondoni Municipal Council

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kinondoni Municipal Council

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Kwa madhumuni ya uendeshaji wa Uchaguzi Mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na.1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na Kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Kawe na Kinondoni anawatangazia Wasimamizi wa Vituo, Wasimamizi wasaidizi wa Vituo na Makarani Waongozaji Wapiga Kura, kuhudhuria mafunzo yatakayofanyika tarehe 25 Oktoba, 2025 kwa Makarani Waongozaji Wapiga Kura na tarehe 26 Oktoba, 2025 na 27 Oktoba, 2025 kwa Wasimamizi wa Vituo vya Kupigia Kura na Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo vya Kupigia Kura kuanzia saa 1:00 Asubuhi katika Ukumbi wa Chuo cha Tumaini, Chuo cha Ardhi na Chuo cha Ustawi wa Jamii.

Orodha ya Majina imeambatishwa hapa chini kwenye PDF.

DOWNLOAD PDF YA MAJINA HAPA

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *