KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Ushetu District Council

Filed in Kuitwa Kazini by on 24.10.2025 0 Comments
Share This Post
KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Ushetu District Council

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Ushetu District Council

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Ushetu District Council

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Kwa mujibu wa kanuni ya 10 (1) ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Ushetu anawatangazia waombaji wa nafasi za usimamizi wa vituo, usimamizi usaidizi, na ukarani uongozaji wa vituo vya kupigia kura waliofaulu usaili na kuteuliwa kuhudhuria mafunzo katika vituo walivyopangiwa siku ya Jumamosi tarehe 25 Oktoba 2025 kwa walioteuliwa kuwa Makarani Waongozaji wa wapiga kura na Jumapili, tarehe 26 Oktoba 2025 hadi Jumatatu, tarehe 27 Oktoba 2025 kwa walioteuliwa kuwa Wasimamizi wa Vituo vya kupigia kura na Wasimamizi wasaidizi wa vituo vya kupiga kura. Muda wa Mafunzo ni kuanzia saa 2:00 asubuhi.

Kila mshiriki azingatie kufika kwa wakati katika kituo alichopangiwa.

Orodha ya walioteuliwa na vituo yao vya mafunzo ni kama ifuatavyo hapa chini.

  • Wasimamizi wa Vituo vya Kupigia Kura na Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo vya Kupigia kura.

DOWNLOAD PDF YA MAJINA HAPA

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *