NAFASI Za Kazi Médecins du Monde Tanzania

NAFASI Za Kazi Médecins du Monde Tanzania
NAFASI Za Kazi Médecins du Monde Tanzania
Médecins du Monde-Tanzania, shirika la kimataifa linalofanya kazi na kusajiliwa chini ya Sheria ya NGO 2002, yenye Usajili Na. I-NGO/R2/000116, na yenye ofisi iliyosajiliwa katika Eneo la Masaki, Wilaya ya Kinondoni, SLP 105948, Dar es Salaam, Tanzania.
Médecins du Monde ni Shirika linalotafuta kutoa huduma ya matibabu ya dharura na ya muda mrefu kwa watu walio hatarini zaidi duniani, Pia linatetea kukomesha ukosefu wa usawa wa kiafya.
Shirika hilo linatafuta watu wenye nia, ari na sifa stahiki kujaza nafasi Mbalimbali zilizoanishwa hapa chini.
Nafasi Mpya Za Kazi Kutoka Médecins du Monde Tanzania
KUTUMA MAOMBI BOFYA HAPA
