MAGAZETI ya Leo Alhamisi 06 October 2025

Filed in Magazetini Leo by on 06.11.2025 0 Comments
Share This Post
MAGAZETI ya Leo Alhamisi 06 October 2025

MAGAZETI ya Leo Alhamisi 06 October 2025

MAGAZETI ya Leo Alhamisi 06 October 2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

MATOKEO YA DARASA LA SABA 2025

Kocha wa JKT Tanzania, Ahmad Ally ndiye atamsaidia Miguel Gamondi katika benchi la ufundi la timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’.

Gamondi alitangazwa kuwa Kaimu Kocha Mkuu wa Taifa Stars baada ya mkataba wa Hemed Suleiman ‘Morocco’ kusitishwa.

Habari kutoka chanzo cha uhakika ndani ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kimethibitisha kuwa Ahmad Ally ndiye atamsaidia Gamondi katika kipindi ambacho atakuwa anakaimu nafasi hiyo.

Katika msimu huu, Ahmad Ally ameiongoza JKT Tanzania katika michezo mitano ya Ligi Kuu ambapo imevuna pointi saba, ikipata ushindi mara moja na kutoka sare nne.

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *