NAFASI Za Kazi Compassion International Tanzania

NAFASI Za Kazi Compassion International Tanzania
NAFASI Za Kazi Compassion International Tanzania
Compassion International Tanzania ni shirika la maendeleo ya imani linalofanya kazi na makanisa mahalia kuwakomboa watoto kutoka kwenye umaskini
Compassion Tanzania linalenga hasa kutoa maji safi na kuchimba visima kaskazini mwa Tanzania.
Shirika la Compassion International Tanzania ndilo shirika kubwa lenye mwelekeo mpana zaidi katika ukuaji wa mtoto.
Shirika dogo la Compassion Tanzania lilianzishwa ili kushughulikia hitaji mahususi la maji safi.
Shirika la Compassion International Tanzania linatafuta watu wenye nia, ari pamoja na sifa stahiki kujaza nafasi Mbalimbali kama zilivyoainishwa hapa chini.
Nafasi Mpya Za Kazi Kutoka Compassion International Tanzania
TUMA MAOMBI HAPA
