RATIBA Mpya ya Usaili Uongozi Institute

RATIBA Mpya ya Usaili Uongozi Institute
RATIBA Mpya ya Usaili Uongozi Institute)
RATIBA MPYA YA USAILI WA TAASISI YA UONGOZI (UONGOZI INSTITUTE)
Katibu wa Ofisi ya Rais,Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anawajulisha waombaji kazi wote walioitwa kwenye usaili katika Taasisi ya Uongozi (Uongozi Institute) tarehe 01 Novemba hadi tarehe 08 Novemba, 2025 kuwa usaili huo sasa utafanyika kwa tarehe zilizooneshwa kwenye jedwali hapo chini.
