NAFASI Za Wasambaza Nyaraka Baraza la Ardhi NA Nyumba la Wilaya

NAFASI Za Wasambaza Nyaraka Baraza la Ardhi NA Nyumba la Wilaya
NAFASI Za Wasambaza Nyaraka Baraza la Ardhi NA Nyumba la Wilaya
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inakaribisha maombi ya Wasambaza Nyaraka wa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya kwa Mikoa ya Iringa, Katavi, Kigoma, Kilimanjaro, Lindi, Manyara, Mtwara, Njombe, Rukwa, Ruvuma, Shinyanga, Simiyu, Singida na Tabora Kutuma Maombi yao Kama ilivyoanishwa hapa chini kwenye PDF.
DONWLOAD PDF HAPA
Tags: NAFASI Za Wasambaza Nyaraka Baraza la Ardhi NA Nyumba la Wilaya