NAFASI Za Kazi Uvinza District Council

NAFASI Za Kazi Uvinza District Council
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Wilaya ya Uvinza anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi saba (07) za kazi katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini.
DONWLOAD PDF HAPA
