NAFASI Za Kazi FAO Tanzania

NAFASI Za Kazi FAO Tanzania
NAFASI Za Kazi FAO Tanzania
Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) lililoanzishwa tarehe 16 Oktoba 1945 ni wakala maalumu wa Umoja wa Mataifa unaoongoza juhudi za kimataifa za kushinda njaa na kuboresha lishe na usalama wa chakula.
Makao Makuu ya FAO ambayo husaidia Serikali na Mashirika ya Maendeleo kuratibu shughuli zao ili Kuboresha na kuendeleza Kilimo, Misitu, Uvuvi, na Ardhi na Rasilimali za Maji yapo Roma nchini Italia
Pia FAO hufanya utafiti, hutoa usaidizi wa kiufundi kwa miradi, huendesha programu za elimu na mafunzo, na kukusanya data ya mazao ya kilimo, uzalishaji na maendeleo.
Shirika la Chakula na Kilimo (FAO) linatafuta watu wenye nia, ari na sifa stahiki kujaza Nafasi za Kazi kama zilizoanishwa hapa chini.
Nafasi Mpya Za Kazi Kutoka FAO Tanzania.
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?BONYEZA HAPA KUTUMA MAOMBI
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

the position degree in Pharmacia
I interested to work with fao