NAFASI Za Kazi TOSCI Tanzania

NAFASI Za Kazi TOSCI Tanzania
NAFASI Za Kazi TOSCI Tanzania
Taasisi Rasmi ya Uthibitishaji wa Mbegu Tanzania (TOSCI) ni taasisi ya serikali chini ya Wizara ya Kilimo (MoA) iliyoanzishwa chini ya Sheria ya Mbegu SURA 308. TOSCI ina jukumu la kuthibitisha, kudhibiti ubora na kukuza mbegu bora za kilimo zinazozalishwa au kuingizwa nchini kwaajili ya kuuzwa.
Pia imepewa dhamana ya kulinda jamii ya wakulima dhidi ya kupata mbegu duni au bandia kutoka kwa wauzaji wa pembejeo za kilimo.
TOSCI ina matawi matano, makao makuu yakiwa katika Manispaa ya Morogoro. Matawi mengine manne yapo Tengeru (Arusha), Maheve (Njombe), Ukiriguru (Mwanza) na Naliendele (Mtwara).
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Udhibitisho wa Mbegu Rasmi Tanzania (TOSCI) anakaribisha maombi kutoka kwa Watumishi wa Umma wenye sifa stahiki, wanaojituma, waliojitolea ambao wangependa kuhamishiwa TOSCI katika nafasi zifuatazo hapa chini kwenye PDF.
DONWLOAD PDF HAPA
