NAFASI Za Kazi Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA)

NAFASI Za Kazi Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA)
NAFASI Za Kazi Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA)
Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) ni Chombo rasmi cha Tanzania kilichoanzishwa kwa Sheria ya Bunge (1967) ili kukuza, kudhibiti na kusanifisha lugha ya Kiswahili kitaifa na kimataifa.
Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) linayofanya kazi chini ya Wizara ya Utamaduni na yenye jukumu la kuunda istilahi, kutoa huduma za lugha, na kuratibu juhudi na vyombo sawa katika nchi nyingine za Afrika Mashariki kama vile Kenya ( CHAKITA ) na Uganda.
Kupitia Ajira Portal, Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) linawatangazia Watanzania wote wenye sifa kuomba ajira katika nafasi mbalimbali za kazi zilizoanishwa hapa chini.
- PUBLIC RELATION OFFICER II – MASS COMMUNICATION (Nafasi 1)
- LANGUAGE TRANSLATER – CHINESE (Nafasi 1)
- ICT OFFICER II – APPLICATION DEVELOPER ( Nafasi 1)
Waombaji wote wa Ajira hizi wanatakiwa kutuma maombi yao kupitia mfumo rasmi wa Ajira Portal.
Fungua tovuti ya Ajira Portal kupitia anwani ifuatayo: https://portal.ajira.go.tz/vacancies kisha jaza taarifa zote muhimu kama inavyoelekezwa kwenye tangazo la kazi.
Mwisho wa Kutuma Maombi ni tarehe 22/12/2025
