NAFASI Za Kazi Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC)

NAFASI Za Kazi Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC)
NAFASI Za Kazi Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC)
Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), kupitia Ajira Portal, linawatangazia Watanzania wote wenye sifa kuomba ajira katika nafasi mbalimbali za kazi zilizoanishwa hapa chini.
Nafasi Zilizotangazwa na Shirika hilo ni
- PHOTOJOURNALIST GRADE II (Nafasi 5)
- PRODUCER II (Nafasi 12)
- ASSISTANT PHOTOJOURNALIST II (Nafasi 5)
- ASSISTANT PRODUCER II (Nafasi 1)
- TECHNICIAN II (TELECOMMUNICATION) (Nafasi 7)
- JOURNALIST GRADE II (Nafasi 26)
- EDITOR GRADE II (Nafasi 4)
JINSI YA KUTUMA MAOMBI
Waombaji wote wanatakiwa kutuma maombi yao kupitia mfumo rasmi wa Ajira Portal.
Fungua tovuti ya Ajira Portal kupitia anwani ifuatayo: https://portal.ajira.go.tz/vacancies kisha jaza taarifa zote muhimu kama inavyoelekezwa kwenye tangazo la kazi.
Mwisho wa Kutuma Maombi ni tarehe 22/12/2025

tatizo mnazitoa nafasi huku ajira portal jaribun kuweka email zenu watu wa upply maana huku masharti ni mengi