Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato Cha Tano na Vyuo vya Kati 2026

Filed in Elimu by on 10.12.2025 0 Comments
Share This Post
Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato Cha Tano na Vyuo vya Kati 2026

Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato Cha Tano na Vyuo vya Kati 2026

Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato Cha Tano na Vyuo vya Kati 2026

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Uchaguzi wa Kidato cha Tano na Vyuo vya Kati – Selform, Form Five Selection 2026.

Uchaguzi wa Wanafunzi Kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Kati, Selection Form Five au form five slection ni utaratibu uliowekwa na Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) pamoja na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTVET).

Kila mwaka, baada ya Matokeo ya Mtihani wa kidato cha Nne, waliochaguliwa kidato cha Tano hutangazwa ambapo Wanafunzi hupangiwa shule kulingana na alama walizopata na vigezo vingine vilivyowekwa na serikali.

Hii ni hatua muhimu kwa wazazi, walezi, na wanafunzi kujiandaa kwa Safari mpya ya Elimu ya juu ya Sekondari.

Kuona Matokeo ya Uchaguzi Kidato Cha Tano 2026 moja kwa moja kwa urahisi Chagua Mkoa wako hapa chini, Chagua Wilaya pamoja na Shule uliyoma.

Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha Tano 2026.

BOFYA HAPA KUANGALIA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2026

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *