NAFASI 500 Za Kazi Umoja wa Falme Za Kiarabu (UAE)

Filed in Ajira by on 29.12.2025 0 Comments
Share This Post
NAFASI 500 Za Kazi Umoja wa Falme Za Kiarabu (UAE)

NAFASI 500 Za Kazi Umoja wa Falme Za Kiarabu (UAE)

NAFASI 500 Za Kazi Umoja wa Falme Za Kiarabu (UAE)

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

TANGAZO LA FURSA 500 ZA AJIRA KWA MADEREVA PIKIPIKI NCHINI KATIKA NCHI YA UMOJA WA FALME ZA KIARABU (UAE)

Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano kwa kushirikiana na kampuni ya “Target Tours and Labour Supply Company Limited” inapenda kuwakaribisha Watanzania wenye sifa stahiki kutuma maombi kwa ajili ya kujaza nafasi 500 za madereva pikipiki zilizotolewa na Kampuni ya Velo Logistics Delivery Services LLC ya nchini UAE kama ilivyoelezwa katika jedwali hapa chini.

DONWLOAD PDF HAPA

Baada ya kutuma maombi unapaswa
kujisajili https://jobs.kazi.go.tz

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *