KUITWA Kwenye Usaili Wizara ya Maliasili na Utalii

Filed in Usaili by on 05.01.2026 0 Comments
Share This Post
KUITWA Kwenye Usaili Wizara ya Maliasili na Utalii

KUITWA Kwenye Usaili Wizara ya Maliasili na Utalii

KUITWA Kwenye Usaili Wizara ya Maliasili na Utalii

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Katibu mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba Nafasi ya kazi ya “Sustainable Food Systems Specialist in the Rice Sector Development” na “Gender and Safe Guard Specialist” za Mradi wa “Mifumo ya Chakula, Matumizi ya Ardhi na Urejeshaji wa Mandhari katika Maeneo ya Misitu ya Tanzania” ambao ni mradi mdogo chini ya Mpango wa Athari wa GEF wa Mifumo ya Chakula, Matumizi ya Ardhi na Urejeshaji (FOLUR).

Mradi huu wa miaka mitano unatekelezwa kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii kama Wakala Mkuu wa Utekelezaji, kwa ushirikiano na Shirika la World Wildlife Fund (WWF) kama Wakala wa Utekelezaji wa GEF kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa tarehe 09-01-2026 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.

Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo kwenye PDF hapa chini.

DONWLOAD PDF HAPA

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *