KUITWA Kwenye Usaili UTUMISHI 09/01/2026

Filed in Usaili by on 10.01.2026 0 Comments
Share This Post
KUITWA Kwenye Usaili UTUMISHI 09/01/2026

KUITWA Kwenye Usaili UTUMISHI 09/01/2026

KUITWA Kwenye Usaili UTUMISHI 09/01/2026

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Chuo cha Ardhi Morogoro (ARIMO), MDAs &
LGAs, Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA), Makumbusho ya Taifa la Tanzania (NMT), Tume ya Madini (TMC), Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA), Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Shirika la Utafiti na Maendeleo ya Viwanda Tanzania (TIRDO), Kituo cha Zana za Kilimo na Teknolojia Vijijini (CAMARTEC), Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT), National Housing Corporation(NHC) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 18/01/2026 hadi 14/02/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.

Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:

DOWNLOAD PDF HAPA

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *