KUITWA Kazini UTUMISHI 11/01/2026

Filed in Ajira by on 12.01.2026 0 Comments
Share This Post
KUITWA Kazini UTUMISHI 12/01/2026

KUITWA Kazini UTUMISHI 11/01/2026

KUITWA Kazini UTUMISHI 11/01/2026

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 14-01-2025 na tarehe 22-12-2025
kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.

Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye
kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

DONWLOAD PDF HAPA

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *