MAJINA ya Waliochaguliwa Kujiunga na VETA kupitia Mradi wa YEFFA

Filed in Elimu, Michezo by on 15.01.2026 0 Comments
Share This Post
MAJINA ya Waliochaguliwa Kujiunga na VETA kupitia Mradi wa YEFFA

MAJINA ya Waliochaguliwa Kujiunga na VETA kupitia Mradi wa YEFFA

MAJINA ya Waliochaguliwa Kujiunga na VETA kupitia Mradi wa YEFFA

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

TANGAZO MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VYA VETA KWA MAFUNZO YA UFUNDI STADI KWA KOZI ZA MUDA MFUPI KUPITIA MRADI YEFFA

Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) inapenda kuutangazia umma kuwa uchaguzi wa walioomba kujiunga na elimu na mafunzo ya ufundi stadi kwa kozi za muda mfupi kupitia mradi wa Ujasiriamali wa Vijana kwa Mustakabali wa Chakula na Kilimo (Youth Entrepreneurship for the Future of Food and Agriculture-YEFFA) unaofadhiliwa na AGRA kwenye vyuo vya VETA Kihonda, Mpanda, Manyara na Arusha (Oljoro) kwa awamu ya kwanza umekamilika.

Orodha ya majina ya waliochaguliwa hapa chini kwenye PDF na kwenye vyuo vya VETA Kihonda, Mpanda, Manyara na Arusha (Oljoro).

Waliochaguliwa wanapaswa kufika vyuoni ya tarehe 26 Januari, 2026.

Masomo yataanza tarehe 26 Januari, 2026.

Kupata majina ya waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya ufundi stadi kwa kozi za muda mfupi kupitia mradi wa YEFFA bonyeza hapa

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *