KUITWA Kwenye Usaili NHC, TMC, VETA, MDAs & LGAs, MNH na NAOT 18/01/2026

KUITWA Kwenye Usaili NHC, TMC, VETA, MDAs & LGAs, MNH na NAOT 18/01/2026
KUITWA Kwenye Usaili NHC, TMC, VETA, MDAs & LGAs, MNH na NAOT 18/01/2026
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs, Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT), Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), Tume ya Madini (TMC), National Housing Corporation (NHC), Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 20/01/2026 hadi 14/02/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.
Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo
yafuatayo kwenye PDF hapa chini.
DONWLOAD PDF YA MAJINA HAPA
Tags: KUITWA Kwenye Usaili NHC, MDAs & LGAs, MNH na NAOT 18/01/2026, TMC, VETA