NAFASI Za Kazi Alexia Hospital

NAFASI Za Kazi Alexia Hospital
NAFASI Za Kazi Alexia Hospital
Hospitali ya Alexia ni kituo kilichosajiliwa chini ya Sheria ya Bodi ya Ushauri ya Hospitali za kibinafsi (PHAB) na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, usajili Na. 073359.
Hospitali ya Alexia ilianzishwa Aprili 2014 kama Zahanati ya Alexia, Mwaka 2016 kilipandishwa hadhi na kuwa kituo cha afya na mwaka 2021 kilipandishwa hadhi na kuwa hospitali ya ngazi ya wilaya.
Hospitali ya Alexia ina vifaa vya kisasa na teknolojia ambayo inaruhusu utoaji wa huduma bora za afya kwa wagonjwa.
Hospitali ya Alexia inatoa matibabu kulingana na Miongozo ya Tiba ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii (STG) na Orodha ya Kitaifa ya Dawa Muhimu kwa Tanzania.
Hospital hiyo inatafuta watu, wenye nia ari na sifa stahiki kujaza nafasi 18 zilizoanishwa hapa chini kwenye PDF.
Nafasi Mpya Za Kazi Kutoka Alexia Hospital
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA TANGAZO
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
