KUITWA Kwenye Usaili MUCE 05 February 2026

KUITWA Kwenye Usaili MUCE 05 February 2026
KUITWA Kwenye Usaili MUCE 05 February 2026
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 12/02/2026 hadi 13/02/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.
Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo kwenye PDF hapa chini.
DONWLOAD PDF HAPA
