NAFASI za Kazi Plan International

NAFASI za Kazi Plan International
NAFASI za Kazi Plan International
Plan International ni shirika la maendeleo na la kibinadamu linaloendeleza haki za watoto na usawa kwa wasichana.
Shirika hilo linaamini katika uwezo wa kila mtoto lakini tunajua hii mara nyingi inakandamizwa na umaskini, vurugu, kutengwa na ubaguzi, na wasichana ndio wanaoathirika zaidi.
Shirika hilo linatafuta watu wenye nia pamoja na sifa stahiki kujaza nafasi Mbalimbali kama zilivyoainishwa hapa chini.
Nafasi Mpya Za Kazi Kutoka Plan International Tanzania
KUTUMA MAOMBI BONYEZA HAPA
