NAFASI Za Kazi Serengeti Breweries (SBL)

NAFASI Za Kazi Serengeti Breweries (SBL)
NAFASI Za Kazi Serengeti Breweries (SBL)
Serengeti Breweries Limited (SBL) ni kampuni inayoongoza kwa bia na vinywaji vikali nchini Tanzania.
Kutokana na kumiliki kiwanda kidogo cha kutengeneza bia kilichopo Dar es Salaam, SBL sasa inaendesha viwanda vitatu vilivyoko Moshi, Mwanza na Dar es Salaam.
Kampuni hiyo ambayo Makao makuu yake ni Dar Es Salaam, Tanzania ilianzishwa mwaka 1988 kama Associated Breweries Limited na kubadili jina lake kuwa Serengeti Breweries Limited mwaka 2002.
Kampuni hiyo inawaalika Watanzania wenye nia, ari na sifa stahiki Kutuma Maombi kwaajili ya kujaza nafasi Mbalimbali za Ajira zilizotangazwa hapa chini.
Nafasi Mpya Za Serengeti Breweries Limited (SBL)
BOFYA HAPA KUTUMA MAOMBI

Yes
Natafuta kazi katika kampuni ya serengeti breweries
Please confirm me
Maombi ya kazi Serengeti breweries
Maombi ya kazi katika kampuni ya Serengeti breweries
Daudi Salumu hamisi natafuta kazi ya udereva nina lesseni A B C1 C2 C3 D E
Daudi Salumu hamisi naishi dar es Salaam mbezi juu tangibovu
Naomba nafasi ya Graduate trainee upande wa logistics and transport management
I’m very interested with the company is doing well and good
Naomba kazi kwenye kampuni yenu ya Serengeti breweries limited
Fani yangu ICT lakini naweza kufanya kazi nyingine kadri nitakavyo pangiwa.
Naomba kazi ICT kwenye kampuni yenu ya Serengeti breweries
Natafuta kazi kampuni ya serengeti breweries
Nitafanya kaz kwa nguvu zangu zote naombeni ombi langu lipokelewe Ahsante.
Na Mimi Nina liseni
Naitwa Leone Paulo Mero nina miaka 28 ninaomba kazi ya udereva katika kampuni yenu pia nitatoa ushirikiano mzuri katika kampuni yenu pia ninauzoefu wa kuendesha magari ya aina zote pia Nina leseni A,A2,B,C1,C2,C3,D na E, Natumaini maombi yangu yatapokelewa wako katika ujenzi wa taifa 🙏0623695549/0618229585