KUITWA Kwenye Usaili MUST 25/02/2026

KUITWA Kwenye Usaili MUST 25/02/2026
KUITWA Kwenye Usaili MUST 25/02/2026
Makamu Mkuu wa Chuo,Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) anapenda kuwataarifu Waombaji
Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 05/03/2026 hadi 06/03/2026 hatimaye
kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.
Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo hapa chini kwenye PDF.
DONWLOAD PDF HAPA
