NAFASI Za Kazi Maendeleo Bank PLC

NAFASI Za Kazi Maendeleo Bank PLC
NAFASI Za Kazi Maendeleo Bank PLC
Maendeleo Bank PLC ni matokeo ya uamuzi wa kimkakati uliofanywa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania-Dayosisi ya Mashariki na Pwani mwaka 2008.
Maendeleo Bank Plc (MB) ilisajiliwa kama Kampuni mnamo Februari 2011, baadae ikabadilishwa na kuwa Kampuni ya Umma Juni 2013.
Tarehe 9 Septemba 2013, Maendeleo Bank PLC ilianza biashara kama benki ya kikanda. Benki hiyo ilipewa leseni namba NBA 00026 ya kufanya biashara ya benki.
Maendeleo Bank imekuwa kampuni na benki ya kwanza nchini Tanzania kuorodheshwa katika Soko la Hisa la Dar es Salaam Plc (DSE) kupitia Dirisha la Soko la Enterprise Growth na hivyo kuwa Kampuni ya Umma (PLC) tangu kuanza kwake.
Tangu kuzinduliwa kwake Septemba 2013, MB imedumisha maono ya msingi ya kujenga benki ya Tanzania kwaajili ya biashara za Tanzania.
Maendeleo Bank inatafuta watu wenye nia, ari pamoja na sifa stahiki kujaza Mbalimbali zilizoanishwa hapa chini.
Nafasi Mpya Za Kazi Kutoka Maendeleo Bank PLC
DONWLOAD PDF HAPA
