RATIBA ya Mechi Za Yanga April 2026

RATIBA ya Mechi Za Yanga April 2026
RATIBA ya Mechi Za Yanga April 2026
Klabu ya Yanga SC itarejea dimbani kwa michezo kadhaa muhimu ya Ligi Kuu Tanzania Bara mara baada ya mapumziko ya kimataifa.
Ratiba Kamili ya Mechi Za Yanga April 2026
04 April 2026
18:30 Yanga SC vs Tanzania Prisons
16 April 2026
18:30 Yanga SC vs Mbeya City
19 April 2026
16:15 KMC FC vs Yanga SC
30 April 2026
19:00 Yanga SC vs Coastal Union
