KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mbulu Town Council

Filed in Usaili by on 03.10.2025 0 Comments
Share This Post
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mbulu Town Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mbulu Town Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mbulu Town Council

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Kwa madhumuni ya uendeshaji wa uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, kwa maelekezo hayo Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Mbulu Mjini anawatangazia wafuatao kufika kwenye usaili Tarehe 08.10.2025 katika Ukumbi wa shule ya Sekondari Chief Sarwatt kuanzia saa 3:00 Asubuhi.

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *