KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kilosa District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kilosa District Council
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kilosa District Council
Kwa madhumuni ya uendeshaji wa uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na.1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Kilosa na Mikumi anawatangazia waombaji wafuatao kufika kwenye usaili Tarehe 06/10/2025 Kuanzia sasa 2:00 Asubuhi katika Maeneo yafuatayo.
Tags: KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kilosa District Council