KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Handeni District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Handeni District Council
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Handeni District Council
Kwa madhumuni ya uendeshaji wa uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia masharti i ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Handeni Mjini anawatangazia waombaji wafuatao kufika kwenye usaili Tarehe 11/10/2025 katika SHULE YA SEKONDARI HANDENI iliyopo Kata ya Mdoe Halmashauri ya Mji Handeni.
Usaili Utaanza kuanzia saa 2:00 Asubuhi
Fika na Vitambulisho Vyako.