KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Gairo District Council

Filed in Usaili by on 07.10.2025 0 Comments
Share This Post
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Gairo District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Gairo District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Gairo District Council

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Kwa madhumuni ya uendeshaji wa uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Gairo anawatangazia waombaji wafuatao kufika kwenye usaili kuanzia Tarehe 06/10/2025 mpaka 11/10/2025 katika kumbi mbalimbali za Halmashauri ya Wilaya ya Gairo, muda wa usaili ni kama inavyoonekana kwenye ratiba.

Aidha kila msailiwa afike na vyeti vifuatavyo:

  • Cheti cha kumaliza kidato cha nne.
  • Cheti cha Taaluma.
  • Cheti cha kuzaliwa.
  • Kitambulisho cha NIDA/Kura.

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *