KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Babati District Council
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Babati District Council
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Babati District Council
Kwa madhumuni ya uendeshaji wa Uchaguzi Mkuu na kwa Kuzingatia Masharti ya Kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Babati Vijijini anawatangazia waombaji kufika kwenye usaili kama inavyoonekana kwenye jedwali lifuatalo hapa chini.
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGA KURA
Tags: KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Babati District Council