KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Lushoto District Council

Filed in Usaili by on 07.10.2025 0 Comments
Share This Post
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Lushoto District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Lushoto District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Lushoto District Council

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Kwa madhumuni ya uendeshaji wa uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Lushoto na Mlalo anawatangazia waombaji wafuatao kufika kwenye usaili Tarehe 13/10/2025 shule ya sekondari Shambalai kuanzia saa 1.00 asubuhi.

kwa waombaji wanaotoka Kata ya Mnazi, Lunguza, Mbaramo, Mng’aro na Shaghayu usaili utafanyika shule ya sekondari Mnazi.

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *