KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Morogoro Municipal Council

Filed in Usaili by on 08.10.2025 0 Comments
Share This Post
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Morogoro Municipal Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Morogoro Municipal Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Morogoro Municipal Council

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Kwa madhumuni ya uendeshaji wa uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na Kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Morogoro Mjini anawatangazia waombaji wafuatao kufika kwenye usaili Tarehe 08/10/2025 katika maeneo maalumu ya usaili yaliyopangwa kama inavyoonekana kwenye orodha kuanzia saa 01:30 Asubuhi.

Mambo ya kuzingatia.

  • Wasailiwa wote wanatakiwa kuja na nakala ya vyeti vya Taaluma pamoja na kitambulisho kinachomtambulisha, kinaweza kuwa kitambulisho cha Taifa (NIDA), Kitambulisho cha kupiga kura, Leseni ya udereva au kitambulisho kingine chochote kinachotambulika.
  • Wasailiwa wote wanatakiwa kufika katika kituo alichopangwa kufanyia usaili kama inavyoonekana kwenye jedwali lifuatalo.

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *