KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kibaha District Council

Filed in Usaili by on 08.10.2025 0 Comments
Share This Post
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kibaha District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kibaha District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kibaha District Council

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Kwa madhumuni ya uendeshaji wa uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka  2025,  Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Kibaha Vijijini anawatangazia waombaji wafuatao kufika kwenye usaili.

Tarehe  08.10.2025  katika ofisi za Shule ya Sekondari Magindu kwa kata za Gwata na Magindu

Shule ya Sekondari Kwala kwa kata za Dutumi na Kwala

Halmashauri ya Wilaya Kisabi kwa kata za Kikongo, Kikongo, Ruvu, Kawawa, Soga, Bokomnemela, Janga, Kilangalanga, Mtongani,Mlandizi na Mtambani .

Muda kuanzia saa 3.00 asubuhi.

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *