KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Bunda Town Council

Filed in Usaili by on 11.10.2025 0 Comments
Share This Post
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Bunda Town Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Bunda Town Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Bunda Town Council

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Kwa madhumuni ya uendeshaji wa Uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na Kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo Bunda Mjini anawatangazia waombaji wafuatao katika jedwali Na.1 na Na.2 hapa chini kufika kwenye usaili siku ya Alhamisi tarehe 16.10.2025 katika Ukumbi wa Malaika Bunda Mjini kuanzia saa 2.00 asubuhi.

DONWLOAD PDF YA MAJINA HAPA

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *