KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Ubungo Municipal Council

Filed in Usaili by on 13.10.2025 0 Comments
Share This Post
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Ubungo Municipal Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Ubungo Municipal Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Ubungo Municipal Council

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Kwa madhumuni ya uendeshaji wa uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa kifungu cha 6 (9) Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Ubungo na Kibamba anawatangazia waombaji wafuatao kufika kwenye usaili Tarehe 15/10/2025 Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Ukumbi wa Yombo 4 & 5 kuanzia saa moja kamili (1:00) asubuhi.

Fika na kitambulisho chochote kinachokutambulisha au barua ya utambulisho kutoka Ofisi ya Serikali ya Mtaa ikiwa na picha yako.

Wasailiwa watajigharamia gharama zote ikiwemo usafiri, chakula na malazi.

Orodha ya waliochaguliwa kufanya usaili imeambatanishwa kwenye PDF hapa chini.

DONWLOAD PDF YA MAJINA HAPA

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *