KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mbinga Town Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mbinga Town Council
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mbinga Town Council
Kwa madhumuni ya uendeshaji wa uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Mbinga Mjini anawatangazia waombaji wafuatao kufika kwenye usaili Tarehe 15/10/2025
- Kwa nafasi za Wasimamizi wa Vituo na wasimamizi wasaidizi wa Vituo usaili utafanyika katika Ukumbi wa shule ya Sekondari Makit.
- Kwa nafasi za Makarani usaili utafanyika katika Ukumbi wa ya Msingi Mbinga Shule.
- Usaili utafanyika kuanzia saa 1:30 asubuhi.
DONWLOAD PDF YA MAJINA HAPA
Tags: KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mbinga Town Council
